Mashabiki wa Luis Suarez wakiwa uwanja wa ndege kumpokea mshambuliaji wao.
Baada ya kufungiwa mechi tisa za kimataifa na miezi minne ya kutojihusisha na soka, Suarez amerejea Uruguay na kukiacha kikosi cha nchi yake kinachoshiriki kombe la dunia nchini Brazil.
Mashabiki walilazimika kwenda uwanjani kumsalimia mshambuliaji huyo wa Liverpool.
Rais wa Urugauy, Jose Mujica alikuwepo uwanja wa ndege tayari kumpokea nyota huyo, lakini aliondoka baada ya ndege ya Suarez kuchelewa kutua uwanjani.Mashabiki walihitaji kumuona nyota wao akirudi Uruguay baada ya kifungo.Shujaa: Mashabiki walifurika na kuziba njia ya uwanja wa ndege wa Carrasco wakisubiri kuwasili kwa Suarez.Vijembe: Shabiki akionesha ujumbe uliokusudia kuwasema FIFA baada ya kumfungia Suarez.Mashabiki walijikusanya uwanja wa ndege kumsalimia Suarez
Uruguay watachuana na Colombia katika mchezo wa hatua ya 16, lakini watahitaja ushindi bila ya Suarez pamoja na mechi nyingine zote watakazobahatika kucheza.Mshambuliaji wa Uruguay, Suarez akiwa katika hoteli ya timu yake ya Taifa nchini Brazil jana alhamisi.

MASHABIKI wa Luis Suarez wamefurika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Carrasco karibu na Montevideo kumsalimia mshambuliaji huyo aliyerejea Uruguay baada ya kufungiwa na FIFA.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=2692#sthash.32CTFDp0.dpuf