Paul Pogba akirudi juu na kupiga kichwa akiifungia Ufaransa bao la kwanza dhidi ya Nigeria.
NIGERIA maarufu kama Super Eagles imetupwa nje ya kombe la dunia baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Ufaransa usiku huu katika mchezo wa hatua ya 16.
Paul Pogba aliifungia Ufaransa bao la kuongoza katika dakika ya 78, huku beki wa Nigeria, Joseph Yobo akijifunga bao katika dakika za lala salama mjini Brasilia.
Paul Pogba akinyosha vidole juu baada ya kuifungia Ufaransa
Kosa: Beki wa Nigeria, Jospeh Yobo alijifunga bao dakika za lala salama.
Kipa wa Nigeria , Vincent Enyeama akijaribu kudaka mpira
Ufundi: Juwon Oshaniwa akiruka tikitaka kuosha mpira wa hatari mbele ya kiungo wa Ufaransa, Pogba
Kikosi cha France: Lloris, Debuchy, Varane, Koscielny, Evra, Pogba, Cabaye, Matuidi, Valbuena, Giroud, Benzema.
Wachezaji wa akiba: Ruffier, Landreau, Sakho, Cabella, Griezmann, Mavuba, Mangala, Sagna, Digne, Sissoko, Remy, Schneiderlin.
Mfungaji: Pogba, 78, Yobo OG, 90+2
Mfungaji: Pogba, 78, Yobo OG, 90+2
Kikosi cha Nigeria: Enyeama, Ambrose, Yobo, Oshaniwa, Omeruo, Musa, Onazi, Mikel, Moses, Odemwingie, Emenike.
Wachezaji wa akiba: Ejide, Agbim, Uzoenyi, Gabriel, Egwuekwe, Odunlami, Oboabona, Azeez, Nwofor, Uchebo,
Ameobi.
Mwamuzi: Mark Geiger (USA)
Wachezaji wa akiba: Ejide, Agbim, Uzoenyi, Gabriel, Egwuekwe, Odunlami, Oboabona, Azeez, Nwofor, Uchebo,
Ameobi.
Mwamuzi: Mark Geiger (USA)