Diamond Platnum amedondosha video kwa mara moja zote zikiwa zimetengenezwa na ku recordiwa nje ya Tanzania.Leo hii tarehe 7/7 ni siku ambayo alizaliwa mama yake mzazi Diamond na ili kusherehekea siku hii ya kumbukumbuku nzuri kwake na familia yake, Diamond ameamua kuachia video hizo.
Home
»
»Unlabelled
» Diamond zilizomgharimu milioni 134,400,000 za kitanzania