Markovic targets Liverpool league title

 Markovic alijivunia kushika jezi yake ya Liverpool baada ya kusaini mkataba mrefu na wekundu hao wa Anfield.
MSHAMBULIAJI wa Serbia, Lazar Markovic amekuwa mchezaji wa nne kusajiliwa majira haya ya kiangazi na klabu ya Liverpool baada ya kumwaga wino kwa dau la paundi milioni 20 kutokea klabu ya Benfica.
Kuwasili kwa Markovic kumewafanya Liverpool watumie paundi milioni 60 kufuatia kutua kwa nyota wengine Rickie Lambert na Adam Lallana kutoka Southampton na Emre Can kutoka Bayer Leverkusen.
Nyota huyo aliiambia tovuti ya klabu kuwa: “Nina furaha sana kujiunga na klabu kubwa kama hii”. 
New man: Markovic arrives at Anfield holding a Liverpool shirt
 Kifaa kipya: Markovic akipozi katika picha na jezi ya Liverpool baada ya kusaini mkataba  
Done deal: Liverpool met the £20million release clause in Lazar Markovic's Benfica contract
Big Bosi: Kocha wa  Liverpool, Brendan Rodgers amekuwa makini zaidi katika soko la kununua wachezaji majira haya ya kiangazi.
“Natumaini kuwa nitatimiza matarajio ya mashabiki, makocha, wachezaji na watu wote wanaohusika na klabu. Mimi niko kama wachezaji wanavyotakiwa kuwa, nimeona aina ya mashabiki waliopo, na siwezi kusubiri kuanza kucheza hapa.
“Nahitaji kushinda mataji nikiwa na Liverpool na nitajitolea kwa asilimia 100 nikiwa uwanjani”. Alisema nyota huyo mpya.
Liverpool remain ambitious - Rodgers

 
Top