Monaco nq Atletico Madrid wanaitaka saini ya Fernando Torres.
KLABU ya Monaco imeingia katika vita na Atletico Madrid kuiwinda saini ya mshambuliaji wa Chelsea, Fernando Torres.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Hispania mwenye miaka 30 anahitaji kutafuta timu ya kupata nafasi ya kucheza, lakini Chelsea watasikiliza ofa nzuri zaidi. 
True blue: Torres may be reluctant to leave Chelsea following the arrival of Cesc Fabregas
 
Atletico Madrid wanavutiwa kumrudisha nahodha huyo wa zamani wa Vicente Calderon baada ya kumuuza nyota wake  Diego Costa katika klabu ya sasa ya Torres ya Chelsea.
Chelsea wapo tayari kumuuza Torres kama ofa ya paundi milioni 20 itapatikana.
Msimu ujao, Jose Mourinho anataka kumtumia mshambuliaji mmoja tu ambapo Diego Costa ndiye atakuwa mshambuliaji namba moja.
Nafasi ya Torres itafifia zaidi kama Didier Drogba atarudi London Magharibi.
 
Jembe jipya:  Diego Costa atabadili nafasi ya TorresSummer signing: Diego Costa could be seen as a replacement for Torres
Jembe jipya:  Diego Costa atabadili nafasi ya Torres

 
Top