TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA James rodriguez akiwa na raisi wa cclub hiyo florentino perez akiwa anamtambulisha kwa mashabiki wa club hiyo.dola millioni 80 zimetumika kumtoa james monaco mpaka real james akiwa uwanjani kwa mara ya kwanza ndani ya real