VALDES
man united na arsenal za uingeleza wameingia kwenye vita ya kuwania saini ya mlinda mlango wa fc barcelona valdes ambaye upo huru kwa sasa ktk kikosi cha barca
ALEXIS SANCHEZ
arsenal wako njiani kumsajili mchezaji nyota wa barcelona alexis ambaye alikuwa anawindwa na virabu vya manchester,liverpool na juventus.the gunners wametoa dau la paundi millioni 40 kwa ajili ya kukamilisha usajili huo
COLE
beki mashuhuri wa club ya chelsea amehusishwa na tetesi za kujiunga na club ya roma ya nchini italy na amehusishwa kulipwa kiasi cha paundi millioni 38 kwa wiki.cole ambaye mkataba wake umemalizika msimu huu akiwa kwenye kikosi cha chelsea ya uingeleza ambayo ipo chini ya kocha mreno mourinho