Klabu ya Simba inataraji kumtangaza Mzambia Patrick Phiri KUWA KOCHA MPYA WA KLABU HIYO na kuchukua mahala palipoachwa na Logalusic,
Akizungumza na mtandao huu muda mchache uliopita mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba Zacharia HansPoppe amesema Phiri atawasili kesho mchana na ndege ya shirika la ndege la Fastjet.