DIAMOND PLATNUMZ ALIVYO MILIKI JUKWAA JANA UCKU MWANZA MWANZA Fiesta ilianza kunguruma Jana kwenye viwanja vya CCM Kirumba ambapo mkali wa Bongofleva Diamond Platnumz alifanya vitu vyake . Hizi ni baadhi ya picha za hiyo show…