D'maria amekabidhiwa mikoba ya christian ronaldo na kuitendea haki jezi hiyo ambayo alikuwa amefaa ronaldo kabla ya kutimkia real madrid.mchezaji huyo raia wa argentiana aliye funja records ya usajili mpaka sasa nchini uingeleza.nataka kuvaa jezi hii no 7 na kutaka kuifanyia makubwa ndani ya club yangu hii mpya alinukuliwa d'maria katika mahojiano na wandishi wa habari
van gal akiwa bado akikabiliwa na wakati mgumu sana clabuni hapo kwa mfumo mpya anao tumia kuonekana kuwa mgumu kwa wachezaji wake kuweza kucopy haraka ndio tatizo kubwa linalo igharimu man u mpaka sasa