Anaenda kuwa hivi: Mario Balotelli ametengenezwa akiwa amevalia jezi ya Liverpool.
LIVERPOOL wamekubali kuilipa AC Milani ada ya uhamisho ya paundi milioni 16 ili kuinasa saini ya mshambiliaji wa Italia, Mario Balotelli.
Mwezi uliopita, Brendan Rodgers alisema Liverpool haiwezi kumsajili Balotelli, lakini amebadili moyo wake.
Mapema leo Balotelli aliwaambia Sky Italia: “Leo itakuwa siku yangu ya mwisho Milanello.”
Super Mario: Balotelli aliondoka ligi kuu nchini England mwaka 2013, lakini yuko njiani kurudi na safari hii anatua