Joseph Haule aka Professor Jay yuko mbioni kuachia video ya single yake ‘Kipi Sijaskia’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz. Hiki ni kionjo cha video hiyo ambayo imeongozwa na Adam Juma wa Visual Lab: Next Level.
Home
»
»Unlabelled
» TAZAMA KIPANDE CHA VIDEO MPYA YA PROFESA JAY FT DIAMOND