barca na real zaongoza katika mapato ya luninga nakuibwaga chini bayern kwa kuingiza mkwanja mrefu zaidi.kwa timu hizi za la liga zimepata pato kubwa katika mechi za el clasico kwa mwaka 2013/14
Barcelona (La Liga) Real Madrid (La Liga) Liverpool (Premier League) Man City (Premier League) Chelsea (Premier League) Arsenal (Premier League) Tottenham (Premier League) Man United (Premier League) Everton (Premier League) Juventus (Serie A) | €140m €140m €117.05m €115.89m €112.93m €111.44m €107.6m €106.99m €102.03m €94m |