Chelsea
wamewasiliana na ‘Rugby Football Union’ wakiomba kutumia uwanja wa
Twickenham kwa miaka kadhaa.
CHELSEA
imeanza mchakato wa kuomba kuhamia kwa muda katika uwanja wa Twickenham
kutokana na mipango ya kutaka kuboresha uwanja wa Stamford Bridge.
Tayari
Chelsea wameshaanza mawasiliano na mamlaka inayohusika na usimamizi wa uwanja
huo ya ‘Rugby Football Union.
RFU
wamethibitisha kuwa klabu hiyo kubwa ya ligi kuu England imeomba kutumia uwanja
huo wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 82,000.
Mwezi
juni mwaka huu, Chelsea walitangaza kupanua uwanja wao, lakini hawakutaja muda
wa kuanza kazi hiyo.
Kulikuwa
na taarifa kuwa klabu hiyo inaweza kutafuta eneo lingine la kudumu la nyumbani,
lakini London inapewa kipaumbele.
Chelsea
wanaweza kucheza mechi za nyumbani kwa muda mfupi katika uwanja wa Twickenham
Siku
za nyuma klabu zilikataliwa kutumia uwanja wa Twickenham uliopo Scotland .
Mkurugenzi
wa RFU, Francis Baron alikataa mwaka 2001, wakati Fulham ikitafuta uwanja
wa muda wa nyumbani.
Baron
alisema: “Hatujavutiwa na suala hilo”.
Taarifa
ya RFU ilisema : “Tumekuwa na mawasiliano na mashirika mengi , nje na ndani ya
michezo kuhusu namna ya kutumia uwanja huo ambao tunaamini ni wa kiwango cha
dunia. Tumepata maombi kutoka Chelsea FC, lakini hatujafanya mazungumzo yoyote
kuhusu hilo”
Chelsea wamewasiliana na ‘Rugby Football Union’ wakiomba kutumia uwanja wa Twickenham kwa miaka kadhaa.
CHELSEA
imeanza mchakato wa kuomba kuhamia kwa muda katika uwanja
wa Twickenham kutokana na mipango ya kutaka kuboresha uwanja wa
Stamford Bridge.
Tayari Chelsea wameshaanza mawasiliano na mamlaka inayohusika na usimamizi wa uwanja huo ya ‘Rugby Football Union.
RFU
wamethibitisha kuwa klabu hiyo kubwa ya ligi kuu England imeomba kutumia
uwanja huo wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 82,000.
Mwezi juni mwaka huu, Chelsea walitangaza kupanua uwanja wao, lakini hawakutaja muda wa kuanza kazi hiyo.
Kulikuwa na taarifa kuwa klabu hiyo inaweza kutafuta eneo lingine la kudumu la nyumbani, lakini London inapewa kipaumbele.
Chelsea wanaweza kucheza mechi za nyumbani kwa muda mfupi katika uwanja wa Twickenham
Siku za nyuma klabu zilikataliwa kutumia uwanja wa Twickenham uliopo Scotland .
Mkurugenzi wa RFU, Francis Baron alikataa mwaka 2001, wakati Fulham ikitafuta uwanja wa muda wa nyumbani.
Baron alisema: “Hatujavutiwa na suala hilo”.
Taarifa
ya RFU ilisema : “Tumekuwa na mawasiliano na mashirika mengi , nje na
ndani ya michezo kuhusu namna ya kutumia uwanja huo ambao tunaamini ni
wa kiwango cha dunia. Tumepata maombi kutoka Chelsea FC, lakini
hatujafanya mazungumzo yoyote kuhusu hilo
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=7002#sthash.5Xh1nhnI.dpuf

hatujafanya mazungumzo yoyote kuhusu hilo”