Real Madrid are on the verge of completing a season-long loan deal for Manchester United striker Javier 'Chicharito' Hernandez, Goal understands.
.REAL wakiwa wamekamilisha usajili wa chircharito akitokea man u baada ya ujio wa kocha mpya van gal kutona umuhimu wake kwa sasa...hernandez amejiunga kwa mkopo akitokea man u
.wakati huo huo kagawa naye atimkiwa dortmund.Borrusia Dortmund imekamilisha usajili wa kiungo Shinji Kagawa kutoka Man Utd kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 6.3. Kagawa amesaini kataba wa miaka 4 na kurejea kwenye klabu yake ya zamani ambayo alihama mnamo mwaka 2012 kwa ada ya paundi milioni 12