Mshambuliaji raia wa ufaransa Loic Remy amejiunga na klabu ya Chelsea kwa mkataba wa miaka 4 akitokea klabu ya QPR. Chelsea imelipa paundi milioni 8 kama ada ya uhamisho.
wakati remmy akijiunga na chelsea pia van ginkel wa chelsea akiwa anakamilisha vipimo ya kujiunga na ac milan
VAN GINKEL