Dakika 3 za Young Dee na Jux kwenye single mpya ‘Sio Mchoyo’ Mchanganyiko wa muziki wa Rap na kuimba umepata sehemu yake na hii ni kutoka kwa Young Dee akiwa kamshirikisha Jux kwenye hii single mpya iliyopewa jina la Sio Mchoyo. click chini utapata kusikiliza na pia ku download.via webpage