Blue akifanya show bila viatu baada ya kuvuliwa na mashabiki wake...
Jumamosi ya wiki iliyopita ilifanyika bonge la show pale Geita tena kwa kiingilio cha shilingi elfu kumi ikiwa ni tofauti na mikoa mingine ambapo kiingilio uwa ni shilingi elfu tano lakini nyomi ya watu ambao waliudhulia show hiyo ilikuwa Nisheedah! Nakukumbusha pia  Geita haikuwa kwenye
list ya Tour ya Serengeti Fiesta ila kutokana na muariko maarumu ikabidi tufika pande zile na kwajinsi walivyo itikia wito ebhana eeh mwakani lazima timu nzima ya Serengeti Fiesta idondoke pande zile za Geita.

Mashabiki wa Blue wakiung'ang'ania mguu wake...

Dimpoz...
Rachel...
Dimpoz na Vanessa Mdee wa Geita...
BK Sande kutoka Bukoba....
Mo Music...
Linah...

Chegge na Temba...
Ngosha...
Simjui...
Linah akiwa na Amini wa Geita...
Wa pili...


Baba Jonii...
Kadja...
True Boy...
Msodoki...
 
Top