diego costa katika form nzuri aliiongoza club yake ya chelsea leo katikaa ushindi wa goli 4 - 2 katika uwanja wao wa nyumbani.katika mchezo huo chelsea ilikwa ya kwanza kufungwa kwa goli la kujifunga john terry.ndipo costa kusawazisha mnamo dakika ya 45 nakuendeleza ushindi mnono wa leo kwa swansea.huku remy aakifungua kitabu cha magoli baada ya kuingia kipindi cha pili akiifungia chelsea goli la 4..
DIEGO COSTA APIGA HAT-TRICK YA KWANZA AKIWA NA CHELSEA...4-2 na KUIONGOZA CHELSEA KATIKA USHINDI WA LEO