Akitangazwa kupitia kipindi cha XXL akiwepo Fetty na B12, watangazaji hao walihesabu mpaka kuanzia 10 mpaka 0 ilimradi tu kuwapa kiraruraru wasikilizaji wao na mwisho wa siku wakamtangaza msanii wa kimataifa T.I kutoka Marekani kuwa ndie atakaefanya makamuzi ndani ya Serengeti Fiesta 2014, itakayofanyika tarehe 18 October 2014 kwenye viwanja vya Leaders Club...

 
Top