ronaldo akiwa katika fomu nzuri na kuelekea kuvunja records katika club yake ya real madrid baada ya kuendeleza kufunga hat trick katika mechi mbili mfululizo.Real katika mechi 3 zilizo pita imefunga magoli 18 na kuendeleza ushindi wa magoli mengi katika mechi za usoni.ronaldo mechi ya deportivo aliifungia timu yake hat trick na leo katika ushindi wa goli 5 - 1elche ameendeleza records baada ya kufunga magoli 4 pekee yake.tika uefa bado mchezaji huyo anaendelea kukimbizana na messi kwa kuwania tuzo na kuwezesha timu zao kushinda taji hilo kwa msimu wa 2014-2015.
miongoni mwa magoli aliyo funga ronaldo mechi ya leo jumanne na kuweza kuibuka na magoli 4 katika ushindi wa goli 5 - 1..............