Makamu wa rais wa simba Geoffrey Nyange kaburu akipokea kadi yake ya VIP kutoka kwa meneja wa benki ya Posta tawi la Mkwepu, Miss Kindamba Haule , leo hii.Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange Kaburu akiongea na Meneja wa benki ya Posta tawi la Mkwepu, Miss Kindamba HauleKaburu akijaribu kadi yake katika mashine ya ATM
MAMBO si ndiyo haya! Hivyo ndivyo unaweza kusema.
Huduma rasmi za kibenki ni muhimu sana na inatakiwa kuwa na kadi. Ni kadi ya aina ipi, nalo jambo la msingi.
Hatimaye makamu wa Rais wa klabu ya Simba sc, Geofrey Nyange Kaburu amekabidhiwa kadi ya VIP kutoka kwa meneja wa benki ya Posta, Tawi la Mkwepu, Miss Kindamba Haule
Makabidhiano hayo yamefanyika kama sehemu ya kuboresha hudumu za kibenki kwa klabu ya Simba sc.