1410642113123_wps_2_MADRID_SPAIN_SEPTEMBER_13
Cristiano Ronaldo atahitaji kulipwa mshahara wa paundi laki 500,000 kwa wiki
CRISTIANO Ronaldo atahitaji kulipwa mshahara utakaovunja rekodi ya dunia wa paundi 500,000 kwa wiki ili kujiunga na Chelsea au Manchester United majira ya kiangazi mwakani.
Mwanasoka huyo bora wa dunia na Ulaya, mnamo mwaka 2013 alionesha nia ya kutaka kurudi United, lakini dili hilo lilikufa baada ya kuondoka kwa Sir Alex Ferguson.
Hata hivyo United hawakujiandaa kumlipa  Ronaldo anachotaka na aliongeza mkataba na Real Madrid ambapo analipwa paundi 350,000 kwa wiki.
 
Top