NAHODHA wa Ivory Coast, Yaya Toure amemwaga lawama kwa timu yake baada ya kutandikwa 4-0 na Cameroon katika mchezo wa makundi wa kufuzu fainali za mataifa ya Afrika, AFCON 2015 nchini Morocco uliopigwa jana.
“Wote tunastahili kulaumiwa kwa kipigo hiki. Wote tulikuwa na majukumu sawa katika kipigo hiki”.
“Ilikuwa mechi ngumu na tulijitahidi kupambana dakika za mwanzo, lakini tulipunguza kasi. Cha pili, tulipata nafasi nyingi za kufunga na tulikosa, tunatakiwa kujilaumu wenyewe”.
“Nadhani imekuwa kitu kizuri kupoteza sasa na tutajitambua kuelekea mechi zijazo, hususani mchezo wa nyumbani dhidi ya chui wa DR Congo. Unapopoteza mechi za kwanza kwenye kampeni kama hizi, inakusaidia kujipanga kwa upinzani ujao,” alisema kiungo huyo wa Manchester City.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=6129#sthash.gXGJ8bmV.dpuf

- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=6129#sthash.snYe8S69.dpuf