TAZAMA UJIO MPYA WA P SQUARE FT T.I Peter na Paul Okoye wanaounda kundi la PSquare wameachia video mpya ya wimbo wao "Ejeajo" waliomshirikisha rapper kutoka Marekani T.I na Shekini bonyeza hapo chini kuitazama na kudownload pia