Hatimae Manchester Utd imefanikiwa kushinda mbio za kuwania saini ya mshambuliaji Radamel Falcao kwa ada ya mkopo ya paundi milioni 12 hadi mwishoni mwa msimu.
Falcao alikuwa pia anawaniwa na vilabu vya Arsenal,Real Madrid na Manchester City.Falcao atakuwa nalipwa paundi 200,000 kwa juma.van gal sasa amekamilisha kikosi mara baada ya nyota wa colombia falcao kujiunga kwa mkopo wa miezi 12..Falcao will compete with regular striker Wayne Rooney and Robin van Persie for a place in Louis van Gaal's new-look United side