Baba Levo na Peter Msechu
Ushawai kujiuliza Peter Msechu na Baba levo wakikutana kwenye jukwaa moja nini kitatokea?hahaha! basi unaambiwa
ilikuwa NiShedaah! usikae mbali na Clouds Tv utaiona show nzima pamoja na matukio mbalimbali yaliyojili kwenye Serengeti Fiesta 2014 ndani ya Iringa lakini pia nakukumbusha kuwa Jumapili hii itakuwa ni zamu ya wakazi wa Morogoro tukutane pale kwa mtonyo wa buku tano tu Nisheedah!
Dimpoz na V money
B12
Nature
Linah
Kstyle
V Money
Makomandoo
Madee

Blue

Baraka Da Prince
Afande Sele
Zillah
EduBoy
Gluck
Huyu ndiye mshindi wa Super Nyota Divaz kutoka Iringa anaitwa Atu
 
Top