tambwe
Mshambuliaji wa kutumainiwa wa Timu ya Simba Hamisi Tambwe leo hasubuhi amefanya mazoezi kwa asilimia 100 na kuondoa uvumi uliokua umemuhusisha kukosa mechi ya kesho dhidi ya stand
united
Hamisi Tambwe ambaye ni mfungaji bora wa ligi kuu vodacom msimu uliopita,Kesho anatarajia kuiongoza timu ya simba akishirikiana na mshambuliaji Emmanuel Okwi kujaribu kupata ushindi wa kwanza kwa simba.Simba mpaka sasa haijapata ushindi kwenye mchezo wowote kati ya miwili waliocheza mpaka sasa baada ya kutoa sare mechi zake mbili za kwanza dhidi ya polisi morogoro na coastal union.
Tambwe a,mbaye alikuwa kwenye hati hati ya kucheza mchezo huo wa kesho,leo asubui amefanya mazoezi vizuri pamoja na kikosi cha Simba kwenye viwanja vya chuo kikuu cha Dar Es Salaam.
tamAmis Tambwe baada ya mazoezi ya leo asubuhi………

 
Top