Kwa wengi, Cristiano Ronaldo ndio mchezaji bora wa soka duniani kwa sasa mbele ya mpinzani wake wa karibu Lionel Messi.
Huku akiwa na mashabiki zaidi ya millioni 100 kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook huku akiwa na wafuasi millioni 30 kwenye Twitter – nahodha huyu wa Ureno kwa hakika ndio sura maarufu katika soka na hiyo ndio sababu makampuni makubwa duniani kote kuhangaika kutumia sura kwenye brands zao.
Hii hapa ni listi ya makampuni yanayofanya kazi na Ronaldo katika dili za matangazo na kumfanya aingize kiasi cha £41.5million kwa mwaka..