SIMBA SC imetoa sare ya bila kufungana na wenyeji Orlando Pirates katika mchezo wa kirafiki asubuhi ya leo Uwanja wa Rand mjini Johannesburg, Afrika Kusini.
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe alikuwepo kwenye mchezo huo na baada ya mechi akasema;
“Nimefurahishwa na kiwango cha timu
japokuwa tulikosa baadhi ya wachezaji wetu walio timu za taifa za Tanzania na Uganda,”.
Mchezo huo ulikuwa sehemu ya maandalizi yake ya mechi dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga SC, Oktoba 18, mwaka huu Dar e Salaam, mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu
ya Vodacom Tanzania Bara.