Timu ya Simba Sc ya jijini Dar Es Salaam leo hii imefungwa mabao 4-2 na Wits University katika mchezo wa kirafiki uliopigwa nchini Afrika Kusini.
Simba imeweka kambini nchini Afrika Kusini ikijiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya watani wake wa jadi Yanga utakaopigwa uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam 18/10/2014.
Mabao ya Simba kwenye mchezo huo yamefungwa na Elius Maguri pamoja na Ramadhani Singano.

 
Top