Kwenye mfululizo wa single zake alizowahi kutoa hii ni ya 5 ikiwa ni baada ya Dear Gambe,Jana na Leo,Mrs. SuperStar,My Power na hii inaitwa Umebadilika ambapo mwanzoni ilifanywa Classic Sound lakini ikaja kurudiwa na Combination Sound kwa Man Water.
click hapa chini kuitizama