Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 UCHAGUZI ni habari kubwa kwasasa katika klabu ya Simba, lakini kuna maisha mengine yanaendelea...
HIVI NDIVYO SPAIN ALIVYOPOKEA KIPIGO TOKA KWA HOLAND 1 - 5
casillas akilia mara baada ya robben kukamilisha goli la 5
BASTIAN SCHWEINSTEIGER KWENYE RADA `BAB KUBWA` YA MAN UNITED MAJIRA YA KIANGAZI
Kwenye rada: Bastian Schweinsteiger anawindwa na Manchester United majira ya kiangazi mwaka huu. KLABU ya Manchester United inamuwi...
SIMBA SC YAWAONYA YANGA KWA KUANZA UJENZI WA UWANJA BUNJU, ZANA ZATUA RASMI!
Kitaifa Hivi ndivyo mambo yalivyo huko Bunju. Picha ni kwa hisani ya Blog ya Bin Zubeiry. Unaweza kutembelea kuona picha zaidi. Na ...
WAZEE YANGA WALIPUKA NA KUTOA TAMKO ZITO…
Katibu wa Baraza la Wazee wa klabu ya Yanga SC Mzee Ibrahim Akilimali akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu ya klabu. Baraza ...
CHELSEA IMELAMBA ‘ DUME’ KWA KUMSAINI FABREGAS
Na Baraka Mbolembole Ni kweli, Mzee Arsene Wenger hakuhitaji huduma ya Cecs Fabregas mara baada ya klabu ya FC Barcelona kutangaza kuwa...
KAPOMBE: KUCHEZA AZAM FC NI SALAMA KWA MCHEZAJI, NAAMINI NITARUDISHA MAKALI YANGU
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam SHOMARY Kapombe amesema ubora wa wachezaji na makocha wa mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania bara, Azam fc...
EDEN HAZARD `ASILIMIA 100` KUBAKIA CHELSEA, AANZA MAZUNGUMZO YA MKATABA MPYA
Eden Hazard amedai kuwa kwa `asilimia 100` atabakia Chelsea na amethibitisha kuanza mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya. Kocha wa Pari...
SCOLARI: KUZOMEWA SIO TATIZO KWA BRAZIL
KOCHA Luiz Felipe Scolari amesema kitendo cha mashabiki kuwazomea wachezaji wa tiimu ya Taifa ya Brazil katika ushindi wa bao 1-0 dhidi ya...