Mwanaume mmoja jina "tumeliweka kapuni" amekuwa na tabia chafu ya kuwafanyisha mapenzi wanawake mithili ya wanyama ndani ya jumba lake la kifahari.......Chanzo chetu cha habari kimedai kuwa, nyumba hiyo ya kifahari ipo maeneo ya Mbezi Beach, ambapo wasichana hualikwa na kunywa pombe baadaye hupigwa picha za utupu.
Mtandao huu umefanikiwa kupata picha zilizopigwa ndani ya jumba hilo na nyingi zinaonesha watu wakifanya mapenzi ama mwanaume na mwanamke au mwanamke na mwanamke.
Baadhi ya picha zilizopigwa katika jumba hilo zinaonesha maadili yasiyofaa kuandikwa , huku baadhi ya wasichana wakiwa na nguo za ndani tu au kufunga mataulo viunoni, matiti yakiwa nje.
Picha hizo, zinaonesha wavulana wakiwa na wasichana ndani ya bwawa la kuogelea huku wengine wakichezewa kimahaba.
Habari zinadai kuwa ndani ya jumba hilo sherehe kama hizo zimekuwa zikifanyika mara kwa mara na waalikwa huambiwa kuwa hiyo ni siku ya kula bata.
Aidha, imeelezwa kuwa washiriki wote hasa wanawake kila mmoja hupewa shilingi 100,000 baada ya sherehe na haijulikani picha hizo chafu hupelekwa wapi baada ya shughuli.
Tazama picha zenyewe hapa chini..
<"Dah kweli hii ni zaidi ya sodoma na gomora">
0 maoni:
Post a Comment