Rodgers expects deals for Sakho, Ilori & Moses to be completed on Monday
liverpool wanakaribia kukamilisha dili la winga wa chelsea victor moses kwa mkopo.katika wachezaji ambao club hiyo bado ipo katika harakati za kuwasajili ni pamoja na mchezaji wa sakho kw ada ya paundi millioni 17.kuondoka kwa moses katika kikosi cha chelsea imekuja mara baada ya kocha jose kutokuwa na nafasi ya kumpanga mchezaji huyu katika kikosi chake.miongoni mwa wachezaji ambao club ya liverpool imefanikisha usajili wake ni pamoja na Lago Aspas,Kolo Toure,Luis Alberto,Simon Mignolet na Aly Cussokho kwa majira ya msimu huu katika usajili wao.club yahimiza Luis Suarez ataendelea kuwepo mchezaji katika kikosi cha timu hiyo yenye maskani yake ANFLIED

0 maoni:

Post a Comment

 
Top