Video  mpya  ya  msanii  Diamond  imeendelea  kufanya  vizuri  kwa  kuwakuna  watu  wa  rika  mbalimbali  ambao  uzalendo umekuwa  ukiwashinda  na  kujikuta  wakimwaga  "radhi"   ili  kukata  kiu  yao....
Katika  upekuzi  wangu, nimefanikiwa  kumnasa  Dj Choka  akizungusha  kiuno  chake  hadharani baada  ya  mzuka  kumpanda  wakati  akisikiliza  ngoma  mpya  ya  Diamond....

Mcheki  hapo  chini 

0 maoni:

Post a Comment

 
Top