MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka kundi la TMK Wanaume Family, Amani Temba 'Mhe. Temba' ametoa picha ya mtoto wake wa kiume aitwaye Melyvin.
Temba alitupia picha hiyo katika akaunti yake ya Instagram jana usiku na kuandika ujumbe wa kumshukuru Mungu na kumkaribisha mwanaye duniani. Ujumbe huo ulisomeka hivi: "Thnx God umenipa mtoto wa kiume. Ma baby boy Melyvin, welcome to the world. GPL inamtakia maisha marefu Melyvin.
0 maoni:
Post a Comment