Msanii wa Bongo Movie Tanzania, Elizabeth Michael "Lulu" ameamua kuchora tattoo iliyoandikwa "Only God Can Judge Me" chini ya
shingo upande wa bega lake la kushoto, baada ua kuona watu wamekuwa wakimhukum kwa mambo ayafanyao kulliko Mungu ambae ndie mwenye cheo chake, na kuwataka watu kumuachia jukumu hilo Mungu pekee, na kucha kujipa u-busy usio wa lazima
Home
»
»Unlabelled
» Lulu aamua kujichora tatto baada ya watu kumhukum na kuwataka kumuachia Mungu jukumu hilo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 maoni:
Post a Comment