baada ya kutangaza kupitia album yake ya mwisho Jesus Piece. The Game sasa rasmi amesaini mkataba na Cash Money Records wiki hii, na kuweka kama kumbukumbu, Game alijinunulia na kumnunulia C.E.O wa Cash Money, Birdman cheni  zinazofanana zenye nembo ya CAsh Money, yenye thamani ya dola 40,000 ambayo ni sawa na shilingi millioni 64,360,000, moja ikiwa ni gold na nyingine platnum. Kampatia moja Birdman kama asante kwa kumularibisha katika familia ya Young Money Cash Money Records

0 maoni:

Post a Comment

 
Top