real madrid imekataa ofa ya coca cola kuwa mzamini wa club hiyo na kuweza kuchukua majukumu yakujenga bernabeu mpya itakayo kuwa ikiingiza watu wengi zaidi,raisi ya madrid perez bado amebaki na mazungumzo na microsoft partnership yao juu ya ujenzi wa uwanja huo.katika dili hilo coca cola walitoa kitita cha E80 wakihitaji kuwa na jina ikiwa ni kodi ya mwaka mmoja kuweka jina lao katika uwanja huo
NEW SANTIAGO BERNABEU NDANI YA MIAKA MINNE IJAYO