Kitaifa

4
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea malalamiko kuhusu uamuzi uliofanywa na Mkutano Mkuu wa Yanga uliofanyika Juni Mosi mwaka huu.
Hivyo, tunasubiri muhtasari wa mkutano huo kutoka kwa uongozi wa Yanga ili tuweze kutoa mwongozo kama ikibidi.
BONIFACE WAMBURA
OFISA HABARI NA MAWASILIANO
SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)

 
Top