Viongozi wa klabu ya Azam Fc Mwenye Kiti Saidi Muhamed, Katibu Mkuu Nassoro Idrisa pamoja na Meneje Jemedali Saidi walipo watembelea Majeruhi Joseph Kimwaga pamoja na Frank Domayo Katika Hostel za Azam Complex iliyopo chamazi.
Wachezaji hao kwa hivi sasa wanaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu Afrika ya kusini.