Van Gaal: Manchester United is my toughest job
Louis van Gaal anatoa jasho baada ya Chris Smalling  kuumia.
HOFU imezidi kundanda nafasi ya beki wa kati ya Manchester United baada ya Chris Smalling kupata majeruhi jana jumatano.
Imefamika kuwa Smalling aliumia mguu katika mazoezi ya kujiandaa na mechi ya jumamosi ya ligi kuu England dhidi ya West Ham katika uwanja wa Old Trafford. 
United watampima leo ili kujua ukubwa wa majeruhi hayo, lakini Louis van Gaal anasubiri kwa hamu kujua kama beki huyo wa England atakuwa fiti kucheza.
United are already without central defenders Phil Jones, Tyler Blackett and Jonny Evans (C)
 Phil Jones alipata maumivu ya nyama za paja, Jonny Evans alipaya majeruhi katika kipigo cha  5-3 dhidi ya Leicester City baada ya kuumia kifundo cha mguu, kabla ya Tyler Blackett kutolewa nje kwa kadi nyekundu.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=6804#sthash.hYCXAn3y.dpuf
 
Top