Manchester United 4-0 QPR: Di Maria inspires first win for Van Gaal
katika muendelezo wa mechi za ligi leo man united walikuwa wakikipiga na QPR na man u kuibuka na ushindi wa goli nne kwa bila huku d'maria akianza ukurasa wake na ukiwa ni ushindi wa kwanza kwa kocha huyo mpya van gaal akiwa na united.
Di Maria inspires Man Utd rout

katika ushindi wa united leo d'maria alianza kuiongoza united goli la kwanza akifuatiwa na mchezaji mwenzake mgeni herrera,wayne rooney na juan mata akifunga ukurasa wa magoli kwa manchester united leo

 
Top