miongoni mwa watazamaji wa mechi kati ya PSG na BARCA leo alikuwepo jay z,beyonce na beckham
matokeo ya uefa leo
PSG 3 VS 2 BARCELONA
SPORTING 0 VS 1 CHELSEA
MAN CITY 1 VS 1 ROMA
BATE 2 VS 1 ATHLETIC CLUB
APOLE 1 VS 1 AJAX
SCHALKE 1 VS 1 MARIBOR
SHAKHTAR 2 VS 2 PORTO
cavani akimpongeza matuid baada ya ushindi dhidi ya barcelona
dzeko akijaribu kuwatoka wachezaji wa roma katika mechi walio toka sare
matic akishangilia goli la kuongoza kwa timu yake ya chelsea