Jux leo ametambulisha wimbo wake mpya "Siskii" ambayo itakuwa ni single yake ya 5 tangu alipoingia katika game la muziki na ni single baada ya wimbo wake uliofanya vizuri sana "Nitasubiri"
Wimbo huu umefanyika AM records chini ya producer Bob Maneke na kuandikwa na Msanii Mabeste ambae kwa kauli yake mwenye ametaja kumlipa shilingi million 2 cash kwa ajili ya uandishi wa mashairi hayo.
sikiliza wimbo huo hapa chini