Asubuhi ya leo kabla wasanii kuanza safari ya kurudi Dar walitiza ahadi yao kwa ndugu, jamaa pamoja na majuruhi wa ajali iliyotokea majuzi huko musoma,
kwakuwatembelea majeruhi wa ajali hiyo katika hospitali ya mkoa wa mara na kugawa nao kidogo walichokipata kupitia show yao ya Serengeti Fiesta 2014 "Sambaza Upendo" iliyofanyika jioni ya jana katika viwanja vya karume mjini musoma na wamekabidhi msaada wa thamani ya shilingi milioni tatu.













 
Top