By Aidan Charlie Seif
Mechi saba tayari zimechezwa na kila
timu tukielekea katika mechi za kimataifa, ebu tuangalia nin nani amekuwa
mchezaji bora wa ligi kuu ya England mpaka kufikia hatua hii.
Diego Costa? Sio kwangu mimi. Kura yangu inaenda kwa muargentina Angel di Maria.
Ndio ni kweli Costa amekuwa na mwanzo mzuri, lakini amekuja na kuikuta timu ambayo ilitakiwa kushinda taji la ligi msimu uliopita – kama wasingepoteza zile points mwishoni mwa ligi dhidi ya Norwich, Sunderland, Crystal Palace na Aston Villa. Costa amekuja kuikuta timu iliyotulia na kupangwa vizuri, na sio klabu iliyo kwenye anguko baada ya kuwa na msimu mbaya.

Mwanzo mzuri wa Costa umewekwa
kwenye kivuli na alichofanya Di Maria ndani ya Manchester United, ambapo
amekutana na changamoto kubwa zaidi.
Ikiwa Di Maria ataendelea na fomu aliyonayo hivi na United na kufanikiwa kuwapeleka Champions League, kwa hakika jambo hilo litakuwa ni kubwa zaidi kuliko kitu chochote atakachokifanya mchezaji yoyote wa Chelsea msimu huu.

Tulichambue hili: Manchester United
walikuwa wanatia aibu msimu uliopita. Baada ya zaman za ushindi za Ferguson,
akaingia David Moyes. Mchezaji aliyekaa United kwa miaka 12 Rio Ferdinand
alipotoa kauli kwamba Moyes alimfanya awe na mashaka juu ya kila kitu kuhusu
hatma ya timu hapo unaweza kuona jahazi la Old Trafford lilivyokuwa likizama.
Hali ilikuwa mbaya kiasi cha kufikia Nemanja Vidic akakakmilisha uhamisho wake
na kuutangaza katikati ya msimu – uliona lini mchezaji mkubwa wa United
anafanya hivyo chini ya utawala wa Fergie?
Huku wachezaji wakubwa wakipoteza hali ya kuitumikia klabu, United walikuwa wakielekea kwenye muelekeo mbaya kabisa. Walimaliza katika nafasi ya 7 na hawakushinda kikombe chochote.
Baadae wachezaji watatu wa safu ya ulinzi wakaondoka – Ferdinand, Vidic na Patrice Evra. Wachezaji wakubwa na wazoefu kwenye kikosi.
Kibaya zaidi kocha mpya akashindwa kuanza kazi mpaka Uholanzi ilipomaliza kampeni yake ya kugombea ubingwa wa dunia, na hata alipoanza kazi akaanza kuandamwa na balaa la majeruhi tena kwa wacheza muhimu – ukiangalia haya yote utafahamu uzito wa kazi iliyopo kuirudisha Manchester United ilipokuwa.
Sawa wametumia fedha – na walihitaji
kufanya hivyo ukiangalia namna hali ilivyokuwa mbaya. Lakini kwa mambo yote
yalikuwa yakiizunguka United – Louis Van Gaal anastahili sifa.
Usajili wa gaharama na mkubwa zaidi ulikuwa wa Di Maria. Wachezaji wanaonunuliwa kwa fedha nyingi inabidi wafanya mambo kwa kulingana na thamani yao – United walihitaji hilo kwa haraka kutoka kwa winga huyo wa kiargentina, na wamelipata hilo jambo.
Baadhi ya wachezaji walionunuliwa kwa fedha nyingi kwenye Premier League wamehangaika kufanya mambo aliyofanya Di Maria – Robinho na Juan Mata ni mifano.
And then tuangalie dili za uhamisho zinazomfanya Di Maria aonekane ni bargain kwa ada ya uhamisho wa £60million.
Andy Carroll, Mesut Ozil na Fernando Torres wote walinunuliwa kwa fedha zilizovunja rekodi kwenye premier league na vilabu vyao.

Carroll – £35m ya majeruhi. Ozil –
£42m ya uvivu na kushindwa kukubaliana na ukweli wa kukataliwa na Real Madrid.
Torres – £50m ya mshambuliaji anayekosa magoli lango likiwa wazi.
Di Maria amekuwa na kiwango kizuri mno. Ni jambo la furaha kuangalia akicheza soka.
Ikiwa uamuzi wa kumchagua mchezaji bora wa mwaka utafanywa kwa kuangalia mfungaji bora wa mmoja wa wachezaji wa timu bingwa, then Costa au Fabregas watachukua tuzo hiyo. Lakini Di Maria anaongoza ukarabati wa Manchester United mpya. Ameingia na kuikuta timu ikiwa haina muelekeo wa kueleweka. Lakini tumeanza kuona mabadiliko – tayari ameipeleka United kwenye top 4, hata kama ni kwa muda lakini unaona timu ina ueleko mzuri.
Wakati wachezaji wa United
waliporipotiwa kumkasirikia Van Gaal kwa kumpumzisha Di Maria walipocheza
Leicester, then utaona ni wazi namna mchezaji huyo alivyokuwa na umuhimu
mkubwa.
Kwa ada ya £60m anategemewa kutimiza matarajio ya waajiri wake Manchester United kwa haraka. Hana ulinzi wa safu nzuri ya mabeki nyuma pia.
Costa ameingia kwenye kikosi cha Chelsea akikikuta kimaimarika. Di Maria kaingia kwenye timu ambayo haipo sawa na anahitaji kuundwa upya.

-
By Aidan Charlie Seif
Mechi saba tayari zimechezwa na kila timu tukielekea katika mechi za kimataifa, ebu tuangalia nin nani amekuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya England mpaka kufikia hatua hii.
Diego Costa? Sio kwangu mimi. Kura yangu inaenda kwa muargentina Angel di Maria.
Ndio ni kweli Costa amekuwa na mwanzo mzuri, lakini amekuja na kuikuta timu ambayo ilitakiwa kushinda taji la ligi msimu uliopita – kama wasingepoteza zile points mwishoni mwa ligi dhidi ya Norwich, Sunderland, Crystal Palace na Aston Villa. Costa amekuja kuikuta timu iliyotulia na kupangwa vizuri, na sio klabu iliyo kwenye anguko baada ya kuwa na msimu mbaya.
Mwanzo mzuri wa Costa umewekwa kwenye kivuli na alichofanya Di Maria ndani ya Manchester United, ambapo amekutana na changamoto kubwa zaidi.
Ikiwa Di Maria ataendelea na fomu aliyonayo hivi na United na kufanikiwa kuwapeleka Champions League, kwa hakika jambo hilo litakuwa ni kubwa zaidi kuliko kitu chochote atakachokifanya mchezaji yoyote wa Chelsea msimu huu.
Tulichambue hili: Manchester United walikuwa wanatia aibu msimu uliopita. Baada ya zaman za ushindi za Ferguson, akaingia David Moyes. Mchezaji aliyekaa United kwa miaka 12 Rio Ferdinand alipotoa kauli kwamba Moyes alimfanya awe na mashaka juu ya kila kitu kuhusu hatma ya timu hapo unaweza kuona jahazi la Old Trafford lilivyokuwa likizama. Hali ilikuwa mbaya kiasi cha kufikia Nemanja Vidic akakakmilisha uhamisho wake na kuutangaza katikati ya msimu – uliona lini mchezaji mkubwa wa United anafanya hivyo chini ya utawala wa Fergie?
Huku wachezaji wakubwa wakipoteza hali ya kuitumikia klabu, United walikuwa wakielekea kwenye muelekeo mbaya kabisa. Walimaliza katika nafasi ya 7 na hawakushinda kikombe chochote.
Baadae wachezaji watatu wa safu ya ulinzi wakaondoka – Ferdinand, Vidic na Patrice Evra. Wachezaji wakubwa na wazoefu kwenye kikosi.
Kibaya zaidi kocha mpya akashindwa kuanza kazi mpaka Uholanzi ilipomaliza kampeni yake ya kugombea ubingwa wa dunia, na hata alipoanza kazi akaanza kuandamwa na balaa la majeruhi tena kwa wacheza muhimu – ukiangalia haya yote utafahamu uzito wa kazi iliyopo kuirudisha Manchester United ilipokuwa.
Sawa wametumia fedha – na walihitaji kufanya hivyo ukiangalia namna hali ilivyokuwa mbaya. Lakini kwa mambo yote yalikuwa yakiizunguka United – Louis Van Gaal anastahili sifa.
Usajili wa gaharama na mkubwa zaidi ulikuwa wa Di Maria. Wachezaji wanaonunuliwa kwa fedha nyingi inabidi wafanya mambo kwa kulingana na thamani yao – United walihitaji hilo kwa haraka kutoka kwa winga huyo wa kiargentina, na wamelipata hilo jambo.
Baadhi ya wachezaji walionunuliwa kwa fedha nyingi kwenye Premier League wamehangaika kufanya mambo aliyofanya Di Maria – Robinho na Juan Mata ni mifano.
And then tuangalie dili za uhamisho zinazomfanya Di Maria aonekane ni bargain kwa ada ya uhamisho wa £60million.
Andy Carroll, Mesut Ozil na Fernando Torres wote walinunuliwa kwa fedha zilizovunja rekodi kwenye premier league na vilabu vyao.
Carroll – £35m ya majeruhi. Ozil – £42m ya uvivu na kushindwa kukubaliana na ukweli wa kukataliwa na Real Madrid. Torres – £50m ya mshambuliaji anayekosa magoli lango likiwa wazi.
Di Maria amekuwa na kiwango kizuri mno. Ni jambo la furaha kuangalia akicheza soka.
Ikiwa uamuzi wa kumchagua mchezaji bora wa mwaka utafanywa kwa kuangalia mfungaji bora wa mmoja wa wachezaji wa timu bingwa, then Costa au Fabregas watachukua tuzo hiyo. Lakini Di Maria anaongoza ukarabati wa Manchester United mpya. Ameingia na kuikuta timu ikiwa haina muelekeo wa kueleweka. Lakini tumeanza kuona mabadiliko – tayari ameipeleka United kwenye top 4, hata kama ni kwa muda lakini unaona timu ina ueleko mzuri.
Wakati wachezaji wa United waliporipotiwa kumkasirikia Van Gaal kwa kumpumzisha Di Maria walipocheza Leicester, then utaona ni wazi namna mchezaji huyo alivyokuwa na umuhimu mkubwa.

- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=7234#sthash.iZOrshqz.dpuf