YANGA YAFUZU HATUA YA PILI, YAICHAPA KOMOROZINE de DOMONI 5 -2, NGASA ATUPIA HAT-TRICK YANGA YAFUZU HATUA YA PILI, YAICHAPA KOMOROZINE de DOMONI 5 -2, NGASA ATUPIA HAT-TRICK

Mrisho Ngasa akipokea zawadi ya mpira kutoka kwa mwamuzi wa mchezo wa leo kutoka Sychelles Allister Barra wa kufuatia kufunga mabao mata...

Read more »

MAONI KUHUSU USAJILI WA OKWI: MMEIFIKIRIA RUHUSA YA ANGALIZO KUTOKA FIFA KUHUSU OKWI? MAONI KUHUSU USAJILI WA OKWI: MMEIFIKIRIA RUHUSA YA ANGALIZO KUTOKA FIFA KUHUSU OKWI?

Na Baraka Mbolembole Emmanuel Okwi, mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Uganda, ameruhusiwa kuichezea klabu yake ya Yanga na Shirikisho l...

Read more »

OKWI RUKSA YANGA OKWI RUKSA YANGA

Emmanue Okwi (katikati) akiwa na Juma Kaseja na Hamis Kiiza Mshambuliaji wa kimataifa wa timu ya Taifa Uganda na klabu ya Young Afric...

Read more »

MBEYA CITY VS SIMBA: JE MNYAMA KUVUNJA MWIKO WA MBEYA CITY SOKOINE???? MBEYA CITY VS SIMBA: JE MNYAMA KUVUNJA MWIKO WA MBEYA CITY SOKOINE????

Na Baraka Mbolembole  Bao lililofungwa na kiungo- mshambuliaji, Richard Peter dakika kumi kabla ya kumalizika kwa mchezo. Lilitosha...

Read more »

BREAKING NEWS: MCHEZO WA MAN CITY VS SUNDERLAND  NA EVERTON NA CRYSTAL  PALACE YAAHIRISHWA BREAKING NEWS: MCHEZO WA MAN CITY VS SUNDERLAND NA EVERTON NA CRYSTAL PALACE YAAHIRISHWA

Mchezo wa Manchester City dhidi ya Sunderland uliokuwa uchezwe katika dimba la Etihad Stadium umeghairishwa kutoka na hali mbaya ya hewa...

Read more »

TAKWIMU: USHIRIKIANO WA ROONEY-VAN PERSIE UNAIKWAMISHA UNITED? - KATIKA MECHI 2 WAPIGIANA JUMLA YA PASI 12 - SITA WAKATI WA KUANZISHA MPIRA TAKWIMU: USHIRIKIANO WA ROONEY-VAN PERSIE UNAIKWAMISHA UNITED? - KATIKA MECHI 2 WAPIGIANA JUMLA YA PASI 12 - SITA WAKATI WA KUANZISHA MPIRA

Wamekuwa wakitajwa kuwa washambuliaji hatari ambao umoja wao utaweza angalau kuipeleka United kwenye nafasi za kucheza Champions League...

Read more »

PICHA MBALI MBALI KWENYE MCHEZO KATI YA AZAM FC NA FERROVIARO DE BEIRA. PICHA MBALI MBALI KWENYE MCHEZO KATI YA AZAM FC NA FERROVIARO DE BEIRA.

Picha zote kwa hisani ya AZAM FC.

Read more »

USIKU WA DAYNA NYANGE TZ V/S CINDY SANYU WA UG NDANI YA LINAS NIGHT CLUB BUKOBA FEB 15,2014 USIKU WA DAYNA NYANGE TZ V/S CINDY SANYU WA UG NDANI YA LINAS NIGHT CLUB BUKOBA FEB 15,2014

FEB 15, 2014  Itakuwa ni usiku wa aina yake kwa wakazi wa mji wa Bukoba na maeneo ya jirani, Watakapo takiwa kujua nani mkali kati ya DA...

Read more »

PHOTOZ: YANGA WALIPOWANYOOSHA WACOMORO TAIFA LEO PHOTOZ: YANGA WALIPOWANYOOSHA WACOMORO TAIFA LEO

  Kiungo wa Komorozine Sports, Moidjie Ali akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga, David Luhenda katika mchezo wa Ligi ya klabu Bingwa Afrik...

Read more »
 
Top
Top