Klabu ya Young Africans imeeingia makubaliano na Benki ya Posta nchini juu ya mabadiliko ya utengenezaji wa kadi za wanachama kutoka...
VIWANGO VYA FIFA MWEZI MEI 2014, BRAZIL WAPANDA MPAKA NAFASI YA NNE
WAKATI siku za kuanza kwa kombe la dunia nchini Brazil zikizidi kuyoyoma, FIFA wametoa orodha ya viwango vya ubora kabla ya mataifa mbali...
PEP GAURDIOLA HATARINI KUPOTEZA UMOJA WA WACHEZAJI BAYERN, KLABU ZA ENGLAND ZAFUATILIA `NGADO KWA NGADO`
Presha juu: Pep Guardiola yupo hatarini kupoteza umoja katika vyumba vya kubadilishia nguo katika klabu ya Bayern Munich PEP G...
MAJANGA MAN CITY! AGUERO KUWAKOSA ASTON VILLA ETIHAD
KOCHA wa Manchester Cuty, Manuel Pellegrini amethibitisha kuwa mshambuliaji wake, Sergio Kun Agero ataikosa mechi ya kesho jumatano dhidi...
SIMBA YAKABIDHIWA KATIBA YAKE, MCHAKATO WA UCHAGUZI KUANZA
KATIBA ya Wekundu wa msimbazi Simba sc imekamilika baada ya kufanyiwa marekebisho na kukabidhiwa kwa uongozi wa klabu hiyo chini ya mw...
CHELSEA YASUBIRI MIUJIZA KUTWAA UBINGWA, YAKAZIWA NA NOWRICH, ARSENAL MWENDO MDUNDO UEFA
CHELSEA imeshindwa kupanda kileleni katika msimamo wa ligi kuu soka nchini England baada ya kutoka suluhu pacha ya bila kufungana na Nowri...
MATUKIO YA TUZO ZA KILLI AWARDS 2014 DIAMOND AONGOZA
Tuzo za Muziki za Tanzania zinazodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Lage (KTMA2014), zilifanyika jana Mei 3 katika ukumbi wa Mlimani City ...